7 sa - Isalin

Mfano,
Mimi ninaumri wa miaka mitatu (3).. kama umri wa kaka yangu ni mara mbili ya umri wangu,.. je, mimi nikiwa na miaka 40, kaka yangu atakuwa na miaka mingapi??, Weka jibu kwenye comment.
MICHAEL USIJIBU!!!!🤐