ЁЯФеЁЯФе*JINSI YA KUPATA CHETI CHAKO CHA KUZALIWA MKOA NA WILAYA ULIPO.*ЁЯФеЁЯФе
тЖкя╕ПRita wameweka utaratibu wa kuandika kituo au wilaya utakayotaka kuchukua cheti chako wakati wa kujaza form.
тЖкя╕ПHii ni kwasababu ofisi za RITA zipo katika kila mkoa na kila wilaya Tanzania nzima.
тЖкя╕ПHivyo basi wakati wa kujaza form ya maombi ya cheti cha kuzaliwa mwishoni kabisa utaulizwaтАЭ *Pick up Office тАЭ* Kwa maana kwamba mkoa gani na wilaya gani unataka kuchukulia cheti chako.
тЖкя╕ПBaada ya sisi kutuma maombi yako ya cheti cha kuzaliwa mtandaoni na cheti kutoka tutakutumia form maalumu iliyo na taarifa zako ambayo ndio unaenda nayo kwenye ofisi za RITA sehemu ulipo kwaajili ya kukabidhiwa cheti chako na hauruhusiwi kutoa pesa unapoenda kuchukua cheti kwasababu malipo ya huduma ya serikali pamoja na stationary yangu yanakuwa yalikwishafanyika wakati wa maombi.
тЬЕNatumaini umeelewa vyema. Kwa maelezo ya ziada usisite kututumia ujumbe.