Hiden Chats Logo
    • البحث المتقدم
  • زائر
    • تسجيل الدخول
    • التسجيل
    • الوضع الليلي
Shaban juma Ukweli tu Cover Image
User Image
اسحب لتعديل الصورة
Shaban juma Ukweli tu Profile Picture
Shaban juma Ukweli tu
  • الجدول الزمني
  • المجموعات
  • الإعجابات
  • متابَعون
  • متابِعون
  • الصور
  • الفيديو
  • بكرات
Shaban juma Ukweli tu profile picture
Shaban juma Ukweli tu
2 ث - ترجم

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuanzisha Wizara itakayoshughulikia masuala ya Vijana ambapo pia Rais amesema anatarajia kuwa na Washauri wa Rais watakaomshauri kuhusu mambo ya Vijana ikiwemo changamoto zao.

Akihutubia Bunge leo November 14,2025, Rais Samia amesema “Mimi na wenzangu Serikali tumefikiria kuwa na Wizara kamili itakayoshughulikia mambo ya Vijana, tumeamua kuwa na Wizara kamili badala ya kuwa na Idara iliyo na mambo mengi, vilevile nafikiria kuwa na Washauri wa mausala ya Vijana ndani ya Ofisi ya RaiRaiais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuanzisha Wizara itakayoshughulikia masuala ya Vijana ambapo pia Rais amesema anatarajia kuwa na Washauri wa Rais watakaomshauri kuhusu mambo ya Vijana ikiwemo changamoto zao.

Akihutubia Bunge leo November 14,2025, Rais Samia amesema “Mimi na wenzangu Serikali tumefikiria kuwa na Wizara kamili itakayoshughulikia mambo ya Vijana, tumeamua kuwa na Wizara kamili badala ya kuwa na Idara iliyo na mambo mengi, vilevile nafikiria kuwa na Washauri wa mausala ya Vijana ndani ya Ofisi ya Rais

image
إعجاب
علق
شارك
Shaban juma Ukweli tu profile picture
Shaban juma Ukweli tu
2 ث - ترجم

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewainua Wabunge na Wageni waalikwa Bungeni kusimama kwa dakika moja kwa ajili ya kuwaombea waliopoteza maisha kwenye maandamano ya october 29,2025 ambapo ametoa pole kwa waliofariki, kujeruhiwa na kupoteza mali na amesema Serikali imeunda Tume ya kuchunguza yaliyotokea.

Rais Samia amesema “Mimi binfasi nimehuzunishwa sana na tukio lile natoa pole kwa Familia zote zilizopoteza Familia zao tunaomba waliofariki wapumzishwe kwa amani, kwa majeruhi tunawaombea wapone haraka na waliopoteza mali zao tunawaomba wawe na ustahimilivu”

“Serikal imeunda Tume ya kuchunguza yaliyotokea ili tujue kiini cha tatizo taarifa hiyo itatuongoza kujielekeza kwenye mazungumzo ya kuleta maelewano na amani” ——— Rais Samia Bungeni leo.

image
إعجاب
علق
شارك
Shaban juma Ukweli tu profile picture
Shaban juma Ukweli tu
2 ث - ترجم

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hususani Ofisi ya DPP kuchuja makosa ya Vijana walioshtakiwa kwa makosa ya uhaini kufuatia maandamano ya October 29,2025 na kwa wale waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo waachiwe huru.

Akihutubia Bunge leo November 14,2025, Dkt. Samia amesema “Natambua kuna Vijana wengi wamekamatwa kwa kushtakiwa kwa makosa ya uhaini hawakujua wanachokifanya na wengine wamefuata mkumbo, nikiwa kama Mama navielekeza vyombo vya kisheria kuangalia makosa yaliyofanywa na Vijana wetu, kwa wale ambao walifanya mambo kwa kufuata mkumbo na hawakudhamiria kufanya uhalifu wawafutie makosa yao”

“Ukiangalia clip zile za maandamano unaona kabisa kuna Vijana waliingia kwa kufuta mkumbo, wanaimba kwa ushabiki, naelekeza Ofisi ya DPP kuchuja viwango vya makosa na kwa waliofuata mkumbo wawaachie waende kwa Wazazi wao”

image
إعجاب
علق
شارك
Shaban juma Ukweli tu profile picture
Shaban juma Ukweli tu
3 ث

image
إعجاب
علق
شارك
Shaban juma Ukweli tu profile picture
Shaban juma Ukweli tu
3 ث

image
إعجاب
علق
شارك
 تحميل المزيد من المنشورات
    معلومات
  • 26 المشاركات

  • ذكر
  • 10/19/02
  • يسكن في تنزانيا
  • موجود في Tanzania
    الألبومات 
    (0)
    متابَعون 
    (3)
  • Ayubu Ally
    Yasin Duru
    Musayasin406
    متابِعون 
    (9)
  • Chumi Milla
    Ramadhan Msambaa
    Ramadhan Ismaili
    Goodluck Assenga
    Adam Chaumba
    Chaser Chaser
    Ayubu Ally
    Yasin Duru
    Musayasin406
    الإعجابات 
    (2)
  • Cheka na mbingu
    Amani herb clinic
    المجموعات 
    (0)

© 2025 Hiden Chats

اللغة

  • حول
  • إتصل بنا
  • أكثر
    • سياسة الخصوصية
    • شروط الاستخدام

الغاء الصداقه

هل أنت متأكد أنك تريد غير صديق؟

الإبلاغ عن هذا المستخدم

مهم!

هل تريد بالتأكيد إزالة هذا العضو من عائلتك؟

لقد نقزت YusufYasin

تمت إضافة عضو جديد بنجاح إلى قائمة عائلتك!

اقتصاص الصورة الرمزية الخاصة بك

avatar

© 2025 Hiden Chats

  • الصفحة الرئيسية
  • حول
  • إتصل بنا
  • سياسة الخصوصية
  • شروط الاستخدام
  • اللغة

© 2025 Hiden Chats

  • الصفحة الرئيسية
  • حول
  • إتصل بنا
  • سياسة الخصوصية
  • شروط الاستخدام
  • اللغة

تم الإبلاغ عن التعليق بنجاح.

تمت إضافة المشاركة بنجاح إلى المخطط الزمني!

لقد بلغت الحد المسموح به لعدد 5000 من الأصدقاء!

خطأ في حجم الملف: يتجاوز الملف الحد المسموح به (954 MB) ولا يمكن تحميله.

يتم معالجة الفيديو الخاص بك، وسوف نعلمك عندما تكون جاهزة للعرض.

تعذر تحميل ملف: نوع الملف هذا غير متوافق.

لقد اكتشفنا بعض محتوى البالغين على الصورة التي قمت بتحميلها ، وبالتالي فقد رفضنا عملية التحميل.

مشاركة المشاركة على مجموعة

مشاركة إلى صفحة

حصة للمستخدم

تم إرسال المنشور الخاص بك ، سنراجع المحتوى الخاص بك قريبًا.

لتحميل الصور ومقاطع الفيديو والملفات الصوتية ، يجب الترقية إلى عضو محترف. لترقية الى مزايا أكثر

تعديل العرض

0%

إضافة المستوى








حدد صورة
حذف المستوى الخاص بك
هل أنت متأكد من أنك تريد حذف هذا المستوى؟

التعليقات

من أجل بيع المحتوى الخاص بك ومنشوراتك، ابدأ بإنشاء بعض الحزم. تحقيق الدخل

الدفع عن طريق المحفظة

حذف عنوانك

هل أنت متأكد من أنك تريد حذف هذا العنوان؟

قم بإزالة حزمة تحقيق الدخل الخاصة بك

هل أنت متأكد أنك تريد حذف هذه الحزمة؟

إلغاء الاشتراك

هل أنت متأكد أنك تريد إلغاء الاشتراك من هذا المستخدم؟ ضع في اعتبارك أنك لن تتمكن من مشاهدة أي من المحتوى الذي يتم تحقيق الدخل منه.

قم بإزالة حزمة تحقيق الدخل الخاصة بك

هل أنت متأكد أنك تريد حذف هذه الحزمة؟

تنبيه الدفع

أنت على وشك شراء العناصر، هل تريد المتابعة؟
طلب استرداد

اللغة

  • Arabic
  • Bengali
  • Chinese
  • Croatian
  • Danish
  • Dutch
  • English
  • Filipino
  • French
  • German
  • Hebrew
  • Hindi
  • Indonesian
  • Italian
  • Japanese
  • Korean
  • Persian
  • Portuguese
  • Russian
  • Spanish
  • Swedish
  • Turkish
  • Urdu
  • Vietnamese