6 C - Traduzir

๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‡๐€๐“๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐’๐ˆ๐…๐€ ๐™๐€ ๐‡๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€๐๐ˆ (๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐–๐ž๐ง๐ ๐ข ๐‡๐š๐ฐ๐š๐ฃ๐ฎ๐ข)

Kuna kitu watu hawasemi wazi.
Sifa za hadharani si baraka kwa kila mtu.

Ukimsifia mtu mbele za watu, mambo mawili yanaweza kutokea.
Kama hana uimara wa ndani, atavimba kichwa. Ataanza kujiona amefika. Hapo ndipo anguko linaanza polepole.
Lakini kama hatavimbaโ€ฆ bado hatari haijaisha.

Wale waliokuwa wanajilinganisha naye kimya kimya wataanza kuona ushindani. Wivu utaanza kujengwa kwa utulivu. Tabasamu zitabaki usoni, lakini mioyoni moto unawaka. Hapo ndipo husda huanza kufanya kazi yake bila kelele.

Sifa huamsha ego.
Sifa huamsha wivu.
Sifa huamsha ushindani wa kimya.

Swali ni hili: Je, kila mafanikio yanapaswa kutangazwa? Au kuna ushindi unahitaji kulindwa?
Watu wengi wameanguka si kwa sababu walishindwaโ€ฆ bali kwa sababu walionekana wanashinda.
Ukielewa hii saikolojia mapema, utajua ni wakati gani wa kukaa kimya na ni wakati gani wa kuruhusu kelele.

Usipuuze. Maarifa haya yanaokoa heshima, mahusiano na mipango yako ya baadaye.

๐Ÿ‘‰Usikose post kama hii โ€” bonyeza follow @fikrachanya_tz sasa hivi.
.
.
.
.
#saikolojiayamaisha #ukwelimchungu #fikrachanya #hekimayaleo #maishahalisi

image