Hiden Chats Logo
    • 高级搜索
  • 来宾
    • 登录
    • 登记
    • 夜间模式
Shaban Mudi Cover Image
User Image
拖动以重新放置封面
Shaban Mudi Profile Picture
Shaban Mudi
  • 时间线
  • 团体
  • 喜欢
  • 下列的
  • 追随者
  • 相片
  • 视频
  • 卷轴
Shaban Mudi profile picture
Shaban Mudi
3 在 - 翻译

Mambo 13 ya aibu ambayo watu hujifunza wakiwa wamechelewa maishani...📌

1. Usishirikishe kila kitu(Usiongee mipango yako mbele za watu). Faragha huleta amani na nguvu.

2. Hata kama unawaamini marafiki na familia, usiwaambie kila jambo.

3. Kisasi bora ni kutokulipa kisasi kabisa. Endelea mbele, furahia maisha, tafuta amani ya ndani, fanikiwa.

4. Ukiwa sahihi, hakuna anayekumbuka. Ukikosea, hakuna anayesahau.

5.Ukisubiri muda sahihi, utapoteza maisha yote bila kufanya chochote.

6. Huna deni la kutoa maelezo au kujitetea kwa kila mtu.

7. Wanaokuchochea kihisia wana nguvu juu yako. Chagua vizuri nani umpatie nguvu hiyo.

8. Acha kujibu kila kitu na kila mtu.

9. Hakuna atakayekuja kukuokoa, kwa sababu una uwezo wa kujiokoa mwenyewe.

10. Huwezi kujijengea taswira nzuri kwa kuharibu taswira ya mwingine.

11. Rafiki wa uongo ni mbaya kuliko adui.

12. Eneo lako la faraja linaweza kuua ndoto zako.

13. Acha kukubali mambo usiyoyaamini.

Kwa leo tuishie hapa familia...
Je , ni point zipi hapa zimekugusa zaidi familia ?
Hebu ruka nazo katika comment hapo 👇
.
.
.
#lifefacts #ukwelimchungu #realtalk #lifelessons #motivational #wisdom #growth #foryouシ #viral #tanzania

image
喜欢
评论
分享
Shaban Mudi profile picture
Shaban Mudi
5 在 - 翻译

𝐔𝐬𝐢𝐦𝐮𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐌𝐭𝐮 — 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐇𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐆𝐡𝐚𝐟𝐥𝐚

Katika maisha kuna ukweli ambao watu wengi huugundua wakiwa tayari wamechelewa. Ukweli huo ni huu: mtu yeyote anaweza kubadilika muda wowote bila kujali historia mlionayo. Leo anaweza kuwa karibu na wewe, kesho akawa mtu tofauti kabisa.

Wengi wanaumia si kwa sababu waliamini vibaya, bali kwa sababu waliamini sana historia kuliko uhalisia wa sasa. Maisha hayafungwi na kumbukumbu; watu hubadilika, mazingira hubadilika, na maslahi hubadilika.

Usiishi kwa kudhani kila anayekaa karibu yako leo atabaki vile vile milele. Linda moyo wako, tambua tabia za sasa za watu, na uwe na mipaka.

Watu wengi wanajifunza somo hili baada ya kuumizwa. Ukilielewa mapema, utaepuka maumivu mengi ambayo wengine wanapitia kimya kimya.

👉Usikose post kama hii — bonyeza follow @fikrachanya_tz sasa hivi.
.
.
.
.
#fikrachanya #maishahalisi #ukwelimchungu #hekima

image
喜欢
评论
分享
Shaban Mudi profile picture
Shaban Mudi
6 在 - 翻译

𝐇𝐀𝐒𝐈𝐑𝐀: 𝐌𝐨𝐭𝐨 𝐔𝐧𝐚𝐨𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐊𝐮𝐜𝐡𝐨𝐦𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐘𝐚𝐤𝐨 𝐍𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐒𝐞𝐤𝐮𝐧𝐝𝐞 𝐂𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞

Watu wengi wanaharibu vitu muhimu maishani si kwa sababu walitaka… bali kwa sababu ya sekunde chache za hasira.

Hasira ni kama moto. Ikianza kuwaka, haiulizi inachoma nini. Inaweza kuchoma maneno yako, mahusiano yako, heshima yako, hata fursa ambazo zingebadilisha maisha yako. Tatizo ni kwamba watu wengi hutambua uharibifu baada ya moto kuzimika.

Dakika chache za hasira zinaweza kugharimu miaka ya kujenga uaminifu. Neno moja la hasira linaweza kuacha kovu la kudumu kwenye moyo wa mtu mwingine.

Ndio maana watu wenye hekima hawapigani na hasira kwa nguvu… wanaisimamia kwa utulivu. Wanajua kuwa kabla ya kuchukua hatua, ni lazima kwanza watulize akili zao.

Ukipata hasira, simama kidogo. Vuta pumzi. Tafakari. Jiulize: “Je, nitakayofanya sasa yatajenga au itaharibu?”

Watu wengi wanajuta baada ya hasira kupita. Wenye busara hujifunza kuitawala kabla haijaharibu kila kitu.
Usiruhusu sekunde za hasira ziharibu miaka ya juhudi zako.

👉Usikose post kama hii — bonyeza follow @fikrachanya_tz sasa hivi.
.
.
.
.
#hekimazamaisha #ukwelimchungu #fikrachanya #maishahalisi #jitambue

image
喜欢
评论
分享
Shaban Mudi profile picture
Shaban Mudi
6 在 - 翻译

Share na Kwa mpambanaji mwingine apate ujumbe huu

Mwambie huyo anayekuharibia mipango yako kitu kimoja tu 👇🏾

Kua

Mimi sina ndoto za kuwa daktari.
Sina ndoto za kuwa engineer.
Sina ndoto za kuwa mbunge, waziri wala rais.
Sina mpango na cheo chochote kikubwa cha sifa na makofi.

Mimi napambana kwa ajili ya kitu cha msingi kuliko hivyo vyote —
NAFUTA NJAA NYUMBANI.

Unapoharibu mishe zangu,
huharibu jina langu…
unahatarisha sahani ya chakula cha watoto wangu.

Unapozuia riziki yangu,
hupigi vita ndoto zangu…
unapiga vita familia yangu.

Kuna watu wanapambana kwa ajili ya umaarufu,
lakini kuna wanaume wanapambana kwa ajili ya bili za umeme, kodi ya nyumba na ada ya watoto.

Heshimu jasho la mtu.
Kama huwezi kusaidia, usiharibu.

Maana wengine hatutafuti vyeo —
tunatafuta mkate wa kila siku.

Dismas Mato
#jeshi_ya_allah

image
喜欢
评论
分享
Shaban Mudi profile picture
Shaban Mudi
6 在 - 翻译

𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐇𝐀𝐓𝐀𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐅𝐀 𝐙𝐀 𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐀𝐍𝐈 (𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐖𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐇𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐢)

Kuna kitu watu hawasemi wazi.
Sifa za hadharani si baraka kwa kila mtu.

Ukimsifia mtu mbele za watu, mambo mawili yanaweza kutokea.
Kama hana uimara wa ndani, atavimba kichwa. Ataanza kujiona amefika. Hapo ndipo anguko linaanza polepole.
Lakini kama hatavimba… bado hatari haijaisha.

Wale waliokuwa wanajilinganisha naye kimya kimya wataanza kuona ushindani. Wivu utaanza kujengwa kwa utulivu. Tabasamu zitabaki usoni, lakini mioyoni moto unawaka. Hapo ndipo husda huanza kufanya kazi yake bila kelele.

Sifa huamsha ego.
Sifa huamsha wivu.
Sifa huamsha ushindani wa kimya.

Swali ni hili: Je, kila mafanikio yanapaswa kutangazwa? Au kuna ushindi unahitaji kulindwa?
Watu wengi wameanguka si kwa sababu walishindwa… bali kwa sababu walionekana wanashinda.
Ukielewa hii saikolojia mapema, utajua ni wakati gani wa kukaa kimya na ni wakati gani wa kuruhusu kelele.

Usipuuze. Maarifa haya yanaokoa heshima, mahusiano na mipango yako ya baadaye.

👉Usikose post kama hii — bonyeza follow @fikrachanya_tz sasa hivi.
.
.
.
.
#saikolojiayamaisha #ukwelimchungu #fikrachanya #hekimayaleo #maishahalisi

image
喜欢
评论
分享
 加载更多帖子
    信息
  • 16 帖子

  • 男性
  • 位于 Dar es salaam
  • 社交链接
关于

Kusaidia watu ni jukumu la Kila mtu katika Dunia hii,iliyojaa unyama wa Kila aina

    相册 
    (0)
    下列的 
    (5)
  • vilmagarrity8
    Grace
    dannybanda1497
    kennithsneddon
    Bahati Mbogo
    追随者 
    (3)
  • Michael Mlacha
    Mussa Yasin
    admin
    喜欢 
    (0)
    团体 
    (0)

© {日期} Hiden Chats

语

  • 关于
  • 联系我们
  • 更多的
    • 隐私政策
    • 使用条款

取消好友

您确定要取消好友关系吗?

举报该用户

重要的!

您确定要从您的家庭中删除此成员吗?

你戳了 Shaban

新成员已成功添加到您的家庭列表中!

裁剪你的头像

avatar

© {日期} Hiden Chats

  • 家
  • 关于
  • 联系我们
  • 隐私政策
  • 使用条款
  • 语

© {日期} Hiden Chats

  • 家
  • 关于
  • 联系我们
  • 隐私政策
  • 使用条款
  • 语

评论报告成功。

帖子已成功添加到您的时间线!

您已达到 5000 个好友的上限!

文件大小错误:文件超出允许的限制(954 MB),无法上传。

您的视频正在处理中,我们会在可以观看时通知您。

无法上传文件:不支持此文件类型。

我们在您上传的图片中检测到一些成人内容,因此我们拒绝了您的上传过程。

在群组中分享帖子

分享到页面

分享给用户

您的帖子已提交,我们将尽快审核您的内容。

要上传图片、视频和音频文件,您必须升级为专业会员。 升级到专业版

编辑报价

0%

添加层








选择一张图片
删除您的等级
确定要删除此层吗?

评论

为了销售您的内容和帖子,请首先创建一些包。 货币化

钱包支付

删除您的地址

您确定要删除此地址吗?

删除您的获利套餐

您确定要删除这个包吗?

退订

您确定要取消订阅该用户吗?请记住,您将无法查看他们的任何获利内容。

删除您的获利套餐

您确定要删除这个包吗?

付款提醒

您即将购买商品,是否要继续?
要求退款

语

  • Arabic
  • Bengali
  • Chinese
  • Croatian
  • Danish
  • Dutch
  • English
  • Filipino
  • French
  • German
  • Hebrew
  • Hindi
  • Indonesian
  • Italian
  • Japanese
  • Korean
  • Persian
  • Portuguese
  • Russian
  • Spanish
  • Swedish
  • Turkish
  • Urdu
  • Vietnamese