2 d - ็ฟป่ฏ‘

๐”๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐Œ๐œ๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐€๐ฆ๐›๐š๐จ ๐–๐ž๐ง๐ ๐ข ๐–๐š๐ง๐š๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฉ๐š: ๐Œ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐‡๐ฎ๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐š ๐’๐ข๐ค๐ฎ ๐”๐ง๐š๐ฉ๐จ๐š๐œ๐ก๐š ๐•๐ข๐ฌยญ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ณ๐ข๐จโ€

Kuna watu wanaendelea mbele kila mwaka.
Na kuna wanaobaki palepale wakilaumu hali, watu, mazingira na bahati.

Tofauti yao si elimu.
Si mtaji.
Si connections.

Tofauti ni hii moja tu:
Mmoja aliamua kubeba majukumu yake yote.
Mwingine akaendelea kutafuta visingizio vya kuchelewesha hatua.

Siku utakapoacha kusema โ€œsikuwa na mudaโ€,
โ€œSikuwa na supportโ€,
โ€œNilichelewa kuanzaโ€โ€ฆ
Na badala yake useme, โ€œNi juu yangu,โ€
ndiyo siku maisha yako yataanza kusogea kwa kasi ambayo hukuwahi kufikiria.
Watu wachache sana wanafika hapa.
Kwa sababu kubeba majukumu ni ngumu.

Lakini kubaki palepale ni gharama kubwa zaidi.
Usije ukawa mmoja wa wale wanaogundua hili wakiwa wamechelewa.

๐Ÿ‘‰Usikose post kama hii โ€” bonyeza follow sasa hivi.
.
.

#chukuahatua #uwajibikaji #achavisingizio #mindsetyamafanik