2 d - Dịch

𝐔𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐌𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐀𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐖𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐮𝐤𝐰𝐞𝐩𝐚: 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐒𝐢𝐤𝐮 𝐔𝐧𝐚𝐩𝐨𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐕𝐢𝐬­𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐢𝐨”

Kuna watu wanaendelea mbele kila mwaka.
Na kuna wanaobaki palepale wakilaumu hali, watu, mazingira na bahati.

Tofauti yao si elimu.
Si mtaji.
Si connections.

Tofauti ni hii moja tu:
Mmoja aliamua kubeba majukumu yake yote.
Mwingine akaendelea kutafuta visingizio vya kuchelewesha hatua.

Siku utakapoacha kusema “sikuwa na muda”,
“Sikuwa na support”,
“Nilichelewa kuanza”…
Na badala yake useme, “Ni juu yangu,”
ndiyo siku maisha yako yataanza kusogea kwa kasi ambayo hukuwahi kufikiria.
Watu wachache sana wanafika hapa.
Kwa sababu kubeba majukumu ni ngumu.

Lakini kubaki palepale ni gharama kubwa zaidi.
Usije ukawa mmoja wa wale wanaogundua hili wakiwa wamechelewa.

👉Usikose post kama hii — bonyeza follow sasa hivi.
.
.

#chukuahatua #uwajibikaji #achavisingizio #mindsetyamafanik