๐๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐๐๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐๐ฆ๐๐๐จ ๐๐๐ง๐ ๐ข ๐๐๐ง๐๐ฎ๐ค๐ฐ๐๐ฉ๐: ๐๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐๐ฎ๐๐๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐๐ง๐๐ฉ๐จ๐๐๐ก๐ ๐๐ข๐ฌยญ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ณ๐ข๐จโ
Kuna watu wanaendelea mbele kila mwaka.
Na kuna wanaobaki palepale wakilaumu hali, watu, mazingira na bahati.
Tofauti yao si elimu.
Si mtaji.
Si connections.
Tofauti ni hii moja tu:
Mmoja aliamua kubeba majukumu yake yote.
Mwingine akaendelea kutafuta visingizio vya kuchelewesha hatua.
Siku utakapoacha kusema โsikuwa na mudaโ,
โSikuwa na supportโ,
โNilichelewa kuanzaโโฆ
Na badala yake useme, โNi juu yangu,โ
ndiyo siku maisha yako yataanza kusogea kwa kasi ambayo hukuwahi kufikiria.
Watu wachache sana wanafika hapa.
Kwa sababu kubeba majukumu ni ngumu.
Lakini kubaki palepale ni gharama kubwa zaidi.
Usije ukawa mmoja wa wale wanaogundua hili wakiwa wamechelewa.
๐Usikose post kama hii โ bonyeza follow sasa hivi.
.
.
#chukuahatua #uwajibikaji #achavisingizio #mindsetyamafanik